Monday 23 May 2016

ARSENAL: ARSENAL WAKO KARIBU KUMYAKUA GRANIT XHAKA


Arsenal wanamalizia taratibu za kuchukua Granit Xhaka kutoka Borussia Monchengladbach...Mazungumzo ya kumsajili midfielder Xhaka yalichukua muda mrefu kwa sababu ya mambo ya kimkataba...Borussia walitaka £35 milioni lakini mwishoni walikubalina £25 na nyongeza badae kutokana na jinsi anavyocheza...Xhaka ni Switzerland international ambae alichezea FC Basel na badae akaingia Borussia...Tayari Xhaka yuko London tayari kwa uchunguzi wa daktari...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment