Sunday 15 May 2016

F1: MAX VERSTAPPEN AMEWEKA HISTORIA LEO


Formula One imepata mshindi kijana kuliko wote leo katika mashindano ya Spanish Grand Prix...Max Verstappen anamiaka 18 na amekuwa mshindi mdogo kuliko wote na pia mtu wa kwanza katoka Dutch kushinda F1...


Ni shindano lake la kwanza akiwa na timu ya Red Bull...Lewis Hamilton na Nico Roseburg waligongana ndipo timu ya Red Bull na Ferrari walipopata nafasi ya kupenya...


Mshindi wa 2 ni Kimmi Raikonnen wa Ferrari na wa 3 ni Sebastian Vettel nae pia wa Ferrari...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment