Thursday 12 May 2016

KENYA: TIMU YA RUGBY YA KENYA 7'S WAMEKUTTANA NA MKALI WA ALL BLACKS DANIEL CARTER


Kenya 7's wamekutana na Daniel Carter mkali wa timu ya taifa ya New Zealand All Blacks...All Blacks ni mabingwa wa Rugby duniani...Wachezaji hao wako Paris, France tayari kwa michuano ya Paris Sevens...Kenya watakutana na All Blacks Sevens Jumamosi wakiwa wanacheza mechi yao ya mwisho ya Goup A...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment