Sunday 8 May 2016

DINAMO BUCHAREST: PATRICK EKENG WA DINAMO AFARIKI UWANJANI



Patrick Ekeng aliyekuwa na umri wa miaka 26 mchezaji wa Dinamo Bucuresti amefariki akiwa uwanjani...Ekeng alikuwa midfielder wa Bucharest na anatokea Cameroon alianguka dakika ya 69 na kukimbizwa hospitali na kutangazwa amefariki...




Habari pia zilitangazwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Cameroon na walisema 'Simba Patricl Ekeng amefariki'....Ekeng kabla ya Bucharest alikuwa anaishezea timu ya Cordoba ya Spain...Cordoba waliweza kutumia tweeter kutuma ujumbe ambao ni 'tunaomboleza kuondoka kwako rafiki'...




Kifo chake kimetukumbusha Marc-Vivien Foe aliyefariki dunia akiwa uwanjani mwaka 2003...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment