Wednesday 18 May 2016

AIFF YOUTH CUP: TANZANIA YAWACHAPA WENYEJI INDIA 3-1


Tanzania wamewagaragaza vibaya sana India katika michuano mikali ya vijana ya AIFF Youth Cup 2016 huko India...Tanzania tulishinda 3-1 na sasa tuna points 4 na India nao kwa ujumla wana point 1...Dakika ya 20 tu vijana walifanya mambo kwa kutumia mchezo wa akili na mipira ya juu kuwachanganya India...India walijichanganya sana midfield na vijana wetu wakawa na ball control safi kuzidi wenyeji...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment