Wednesday 18 May 2016

MANCHESTER UNITED: VAN GAAL AZOMEWA NA MASHBIKI


Baada ya game ya mwisho ya Manchester United ambayo ilisogezwa mbele kutokana na sababu za kiusalama kocha wa Manchester united alijikuwa akizomewa wakti anashukuru mashabiki...Van Gaal aliongea na mashabiki wachache kwani wengi waliamua kusepa mapema kutokana na kutokubaliana na jinsi kocha anavyoendesha timu...


United waliwachapa Bournemouth 3-1 na kubakia nafasi ya 5 ambayo watakosa kucheza Champions League...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment