Monday 9 May 2016

NBA PLAYOFFS: KEVIN DURANT AISAIDIA THUNDER KURUDI LEVEL


Hali haikuwa safi kwa Oklahoma Thunder kwani kuna wakati walikuwa nyuma zaidi ya points 10 na kila wakijaribu San Antonio Spurs wanawazengua...Game 4 ilikuwa muhimu sana kwani Spurs wamesimama na wanacheza kikapu cha ukweli lakini Kevin Durant ilibide ajiongeze sana ili kukabiliana na San Antonio Spurs na Thunder wakafanikiwa kushinda 111-97...Kevin Durant alimaliza Game 4 akiwa na points 41...Sasa series iko sare 2-2 katika 'best of seven' series...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment