Tuesday 17 May 2016

AIFF YOUTH CUP 2016: TANZANIA YATOKA SARE NA USA


Timu kali ya Taifa ya vijana katoka Tanzania imepata kuwasimamisha Marekani katika michuano ya Vijana Youth Cup yanayoendelea huku Goa, India...Timu yetu ya U-17 imejitahidi sana kwani mechi ya kwanza walipangiea timu ngumu lakini kwa umahiri wao waliweza kuwakabili wamarekani na katoka draw...Mapema dakika ya 3 Tanzania tulikuwa chini bao 1 katoka kwa Akitokea...Dakika ya 15 kupitia Rashid Abdallah bao lilisawazishwa...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment