Tuesday 31 May 2016

NBA: OKLAHOMA WAPATA KIGUGUMIZI WARRIORS CHUKUA WESTERN CONFERENCE


Katika hali ambayo haikutegemewa lakini ilikuwa sahihi Golden State Warriors wamefanikiwa kuwa maingwa wa Western Conference.


Golden State ambao wameweka rekodi ya ushindi wa mechi 73 wangefugwa ingekuwa kazi bure lakini waliamua kurudi kwenye rhythm yao na kufanikiwa kushinda 4-3.

Oklahoma Thunder walijaribu lakini waliingia ubaridi na kutoa macho wakati wenzao wanadumbukiza vikapu.


Golden State walishinda Game 7 98-88 na Stephen Curry alipata points 36 na kati ya hizo 3 points 7.

Fainali ya NBA sasa ni Golden State Warriors na Cleveland Cavaliers...Bofya hapa upate habari zaidi. 

No comments:

Post a Comment