Thursday 12 May 2016

BELFAST MARATHON: PATA TASWIRA YA BELFAST MARATHON 2016

(Picha: Kernoghan)

Pata taswira ya Belfast Marathon ya 35 ambayo Kipsang Kositany alishinda...


Kositany alitumia muda wa masaa 2 na dakika 17 sekunde 39 kumaliza Marathon hiyo ambayo ilifanyika ndani ya jij la Belfast...


Washindi wengine pia wanatokea Kenya...Eric Koech alichukua nafasi ya 2 na Dan Tanui nafasi ya 3...

No comments:

Post a Comment