Wednesday 11 May 2016

NBA: STEPHEN CURRY ASHINDA MVP TENA


Stephen Curry anayechezea timu ya Golden State Warriors ameweka historia kwa kuwa mchezaji wa basketball wa kwanza kupata kura zote...Curry kashinda kura zote 130 ambazo zilipigwa...Curry ambae anachezea position ya guard ameisaidia timu yake kuweka historia mwaka huu kwa kushinda mechi 73 na yeye pia hkaweka historia kwa kuwa mchezaji aliyepachika vikapu vya 3 points 400...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment