Thursday 19 May 2016

CAF CONFEDERATION CUP 2016: YANGA YA KIMATAIFA YATINGA 8 BORA


Yanga au Young Africans wamesonga mbele baada ya kuwatoa Sagrada Esperanca ya Angola kwa aggragate ya 2-1...Hali haikuwa shwari sana kutokana na hofu ya vurugu wakati wanacheza lakini kipa wa yanga Deogratius 'Dida' Munishi ndie aliyiokoa Yanga kwa kupangua mashambulizi hatari golini...Nadir Haroub alimfanyia ndivyo sivyo mchezaji wa Esperanto ndani ya box na kusababisha penalty na yeye kutolewa nje lakini Dida alipangua hiyo penalty dakika ya 86...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment