Sunday 22 May 2016

FA CUP FINALS: MANCHESTER UNITED MABINGWA WA FA


Manchester United imefanikiwa kubeba kombe kongwe la FA baada ya kushinda dakika za nyongeza dhidi ya Crystal Palace...


Mechi ilikuwa ngmu kwa Manchester na kipa de Gea alisaidia sana kuwavusha na hatimaye kupata ushindi.

Crystal Palace walianza kuona lango mnamo dakika ya 77 kupitia kwa sub Jason Puncheon na baada ya muda mfupi Mata alipiga volley hatari na wakawa sawa.


Sub mwingine Jesse Lingard ndiye aliyewanyanyua mashabiki juu baada ya bao lake la volley.

Wayne Rooney anashinda kombe la FA kwa mara ya kwanza kabisa.


Crystal Palace bado hawajawahi kushinda kombe lolote kubwa England na sasa watajipanga upya tayari kwa msimu mpya...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment