Sunday 8 May 2016

NBA PLAYOFFS 2016: DAMIAN LILLARD AIBEBA TRAIL BLAZERS

(Damian Lillard akisukuma ball kulia. Picha: Getty Images)

Portland Trail Blazers wamefanikiwa kuwachapa Golden State Warriors 120-108...Damian Lillard alipata 40 points na kusaidia Trail Blazers kushinda Game 3...Trail Blazers wameshinda game muhimu sana na sasa wamepata moyo ya kuendelea na series...


Lillard alipata points 14 kwenye robo ya 2 na half-time alikuwa na 25 points mpaka kocha wa Warriors ilibidi abadilishe mikakati ya kupambana na Blazers...Golden State anaongoza series 2-1...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment