Friday 6 May 2016

ARSENAL: WENGER ASEMA MIKEL ARTETA MBIONI KUONDOKA


Mikel Arteta yuko mbioni kusepa asema Arsene Wenger...Arteta anakamilisha mambo fulani ndipo aende Manchester City kujiunga na Pep Guardiola katika nafasi ya msaidizi wa kocha...Guardiola na Arteta wanatoka nchi moja...Wenger amesema Arteta ni mchezaji aliyechangia sana club ya Arsenal na sio mchezaji tu...


Arteta amekaa Emirates miaka 5 na sasa imetosha kwake mkataba wake utakapoisha mwisho wa msimu huu...Bofya hapa upate ehabari zaidi.

No comments:

Post a Comment