Tuesday 17 May 2016

LEICESTER CITY: LEICESTER WATEMEZA KOMBE LAO KITAA


Mashabiki lukuki wamejitokeza mtaani kuwashangilia Leicester City wazima na kombe la premiership...Timu ilipita taratibu na basi la wazi juu wakiwa na furaha tele huku mashabiki wakishangilia sana...



Msafara ulianza Jubilee Square na kuishia viwanja via Victora Park...Watu walikuwa zaidi ya 240,000 walioweza kujitokeza na kushangilia timu yao...



Kocha Ranieri alikuwa inaonekana mji mzima umejitokeza kuwa kushangilia kombe...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment