Thursday 12 May 2016

EPL: SUNDERLAND YABAKIA PREMIER LEAGUE


Sunderland walikuwa wamejaa nyuso za furaha tu baada ya kushinda mechi na kubakia premier league...Al manusra Sunderland washuke daraja lakini ushindi wao umeshusha timu za Newcastle na Norwich...



Norwich walipanda daraja na sasa wamerudi kule walipotoka baada ya msimu 1...Sunderland waliwachapa Everton mabao 3-0 na kati ya hayo mabao beki Lamine Kone alipacheka 2 na bao lingine alifunga van Aanholt...



Ujio wa kocha Sam Allardyce mwezi wa 10 umeisaidia sana Sunderland kukwepa kushuka daraja...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment