Thursday 26 May 2016

NHL PLAYOFFS: SAN JOSE SHARKS WAINGIA FAINALI ZA STANLEY CUP KWA MARA YA KWANZA KABISA


San Jose Sharks wameweka historia katika franchise kwa kuingia Stanley Cup finals kwa mara ya kwanza kabisa katika historia ya timu hiyo...Waliweza kuwachapa St. Louis Blues 5-2 katika Game 6 ya Western Conference Finals...


Sharks sasa wanasubiri kucheza fainali kati ya Tampa Bay na Pittsburgh ambao wanacheza leo...Bofya hapa upate habari zaidi. 

No comments:

Post a Comment