Tuesday 10 May 2016

ARSENAL: THIERRY HENRY ANAWEZA AKAPEWAA MAJUKUMU MAKUBWA NDANI YA CLUB


Nyota wa Arsenal Thierry Henry yuko mbioni kuongezewa majukumu makubwa ndani ya club muda si mrefu.


Henry yuko mbioni kufundisha timu ya vijana chini ya umri wa miaka 18 (U-18).



Henry amefanya kazi nzuri na vijana wa Academy na sasa yuko tayari kukabiliana na vijana wakubwa ambao uelewa wao umepevuka zaidi.

Mikel Arteta yuko mbioni kusepa lakini club inaweza kumpa kazi ya kufundisha lakini bado haijafahamika lini atapewa hiyo offer...



Pep Guardiola anamtaka Arteta akamsaidie Manchester City...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment