Friday 20 May 2016

BOLTON WANDERERS: JAY-JAY OKOCHA AFUNGA BAO MAHIRI KWENYE MECHI YA HISANI


Legends wa Bolton Wanderers walijitokeza kucheza mechi ya kihisani ya kuchangia timu na mifuko ya jamii...Timu moja ilikuwa chini ya John McGinlay na ya 2 chini ya Tony Kelly...Aliyewika katika mechi hiyo ni Jay-Jay Okocha ambae ni mtaalam sana wa chenga na akaonyesha umahiri huo kwa kufunga mabao 3...Bao lake moja la kwanza lilikuwa hatari sana...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment