Monday 23 May 2016

ALLIANCE MMSC RALLY 2016 KHAN ATETEA TAJI LAKE


Jamil Khan amewapita madereva 20 na kutetea taji lake...Rally ilikuwa ngumu na yakusisimua na ilichukua siku 2 mitaa ya Bagamoyo...Khan alikuwa na navigator mahiri Maisam Fazal ndani ya Subaru N12....Mkali wa Rally Dharam Pandya hakuwa mbali na alimpa kazi Khan kutumia akili za ziada kwani Pandya alimpumulia sana Jhan mwanzo mwisho ndani ya kilometa zote 250...Wengine waliojitahidi ni Gupal Sandu ambae aliibuka mshindi wa 3  na Salim Haji mshindi wa 4....Mshindi wa 5 alikuwa Harinder Singh akiwa na Moses Matovu...Bofya hapa upate habari zaidi

No comments:

Post a Comment