Wednesday 25 May 2016

NBA PLAYOFFS 2016: OKLAHOMA THUNDER YAINYAMAZISHA GOLDEN STATE WARRIORS KWA KUONGOZA 3-1


Hali si shwari kabisa ndani ya kambi ya Golden State Warrior kutokana na kujikuta wakiwa chini games 3 kwa 1 dhidi ya  OKC au Oklahoma Thunder...Thunder walisinda Game 4 118-94 na pongezi ziende kwa Russell Westbrook ambae aipata triple-double ya kihistoria...Westbrook alipata points 36, assists 11 na rebounds 11...Kevin Durant alipata points 26 na rebounds 11...Pamoja na Golden State kuweka historia katika regular season Thunder wamewakimbiza na kuonyesha kiu ya ushindi toka game ya kwanza ya playoffs...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment