Caster Samenya mwanariadha kutoka South Africa akeshinda mbio za mita 800 zilizofanyika huko Rabat, Morocco...Ni mara ya kwanza michuani ya riadha ya Diamond League kufanyika Africa...Samenya alitumia muda ya dakika 1 na sekunde 56: 64 muda ambao ni haraka mwaka huu...Bofya hapa upate habari zaidi.
No comments:
Post a Comment