Sunday 8 May 2016

WELLS FARGO CHAMPIONSHIP 2016: RICKIE FOWLER AONGOZA KWA STROKE 1


Rickie Fowler anaongoza michuano mikali ya Wells Fargo akiwa mbele kwa stroke 1...Fowler yuko -9 na Justin Rose akiwa nyuma yake na -7...Fowler alishinda shindano la PGA kwa mara ya kwanza mwaka 2012 hapo hapo Wells Fargo...Mwaka jana alishinda The Players Championship na Deutsche Bank Championship na mwaka huu ameshinda European Tour huko Abu Dhabi...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment