Sunday 8 May 2016

LEICESTER CITY: LEICESTER WAKABIDHIWA KOMBE RASMI


Leicester City ndio habari ya mwaka huu kwani wameshangaza ulimwengu kwa kunyakua kombe kubwa la ligi ya Uingereza kwa mara ya kwanza kabisa katika historia ya timu hiyo...


Leicester walipewa gwaride la heshima na Everton na baada ya hapo Andrea Bocelli aliingia uwanjani na kocha Claudio Ranieri na kutumbuiza nyimbo ya classical...


Leicester City walifanikiwa kushinda mechi hiyo dhidi ya Everton 3-1...Vardy alifunga mabao 2 na bao la 1 lilikuwa mapema dakika ya 5 na bao lake la 2 lilipatikana dakika ya 65 kwenye tuta...


King nae alipata bao dakika ya 33...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment