Monday 9 May 2016

VPL: YANGA MABINGWA


Dar es Salaam Young Africans au jina maarufu Yanga wamenyakua ubingwa wa premier league...Yanga walitangazwa mabingwa baada ya Simba kuchapwa 1-0 na Mwadui...Ni mara nyingine Yanga wanatwaa ubingwa kwani mwaka jana walifanya hivyo hivyo...Kwa mahesabu ya harakahara Yanga wanachukua ubingwa kwa mara ya 25...Mashabiki wa Yanga walishangilia sana walivyopata matokeo ya mechi ya Simba na Mwadui kupitia luninga Uwanja wa Taifa...Simba na Azam inabidi wakajipange upya kwa msimu ujao...Hongera Yanga kwa ushindi wa VPL...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment