Thursday 19 May 2016

ALLIAENCE MMSC RALLY 2016: MKUU WA MKOA DAR-ES-SALAAM PAUL MAKONDA ATAFUNGUA RALLY JUMAMOSI IJAYO


Mkuu wa Mkoa wa Dar-es-Salaam, Paul Makonda, atafungua rasmi mashindano makali ya mbio za magari aina ya Rally Jumamosi...Mashindano hayo yataanza kwenye hoteli ya Southern Sun...Allience Rally ni mzunguko wa 2 wa National Rally Championship...Waandaji wa Alliance Rally ni Mzizima Motor Sports Club (MMSC)...


Mwenyekiti wa Club, Hidaya Kamanga, amemshukuru Mkuu wa Mkoa kukubali kuzindua hayo mashindano Jumamosi...Hidaya amesema kanda 5 za Tanzania zitashiriki na pia wageni kutoka Zambia, Kenya na Uganda watashiriki...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment