Max Sports brings you the latest sports news, reviews, statistics, videos, documentaries and more from across the 🌎
Showing posts with label Paul Makonda. Show all posts
Showing posts with label Paul Makonda. Show all posts
Wednesday, 20 May 2026
Wednesday, 10 August 2016
Thursday, 19 May 2016
ALLIAENCE MMSC RALLY 2016: MKUU WA MKOA DAR-ES-SALAAM PAUL MAKONDA ATAFUNGUA RALLY JUMAMOSI IJAYO
Mkuu wa Mkoa wa Dar-es-Salaam, Paul Makonda, atafungua rasmi mashindano makali ya mbio za magari aina ya Rally Jumamosi...Mashindano hayo yataanza kwenye hoteli ya Southern Sun...Allience Rally ni mzunguko wa 2 wa National Rally Championship...Waandaji wa Alliance Rally ni Mzizima Motor Sports Club (MMSC)...
Mwenyekiti wa Club, Hidaya Kamanga, amemshukuru Mkuu wa Mkoa kukubali kuzindua hayo mashindano Jumamosi...Hidaya amesema kanda 5 za Tanzania zitashiriki na pia wageni kutoka Zambia, Kenya na Uganda watashiriki...Bofya hapa upate habari zaidi.
Subscribe to:
Posts (Atom)








