Friday 20 May 2016

NBA: LEBRON JAMES AMPITA SHAQUILLE O'NEAL KWENYE IDADI YA VIKAPU VYA PLAYOFFS


LeBron James ameweza kumpita Shaquille O'Neal kwa idadi ya vikapu katika Playoffs...Pamoja na kumpiku Shaq na kuwa wa 4 kwenye list ya watu waliofunga vikapu vingi wakati wa Playoffs ameweza kupata kwa mara ya 15 triple-double...Karim Abdul-Jabbar mkongwe wa basketball alikuwepo kushuhudia na alimpongeza kwa kigonga mgongoni...


Cleveland walishinda Game 2 108-89 dhidi ya Toronto Raptors na sasa wanaongoza series 2-0Bofya hapa upate habari zaidi.

1 comment:

  1. Shaq O’Neal is one of the trending celebrities on the internet. The reason they are popular is because of their romantic life. Who is Shaq Wife – Shaquille O’neal’s new Girlfriend Annie Ilonzeh?

    ReplyDelete