Monday 23 May 2016

MANCHESTER UNITED: JOSE MOURINHO ALIPEWA £4 MILIONI ASIENDE TIMU PINZANI NA DAU LAKE LA KUINGIA MAN U NI £75 MILIONI


Jose Mourinho alipewa pesa ili asiende timu pinzani na Manchester United...Inasemekana alipewa £4 milioni atulie na sasa dau wanauhakika nae dau lake ni £75 milioni....Pamoja na dau hilo atapewa £200 za kutumia ili kuimarisha kikosi cha Mancheser United...


Hali haikuwa shwari kwa Van Gaal kwani alijua ametimuliwa baada ya kushinda kombe la FA kupitia kwa mke wake...Habari za ndani kabisa zinasema akikasirika sana jinsi walivyomfanyia...


Manchester United hawakumtendea haki bora Moyes ambae alisikia kwenye vyombo vya habari kuwa katimuliwa na bade boss wa Manchester Ed Woodword aliongea nae vizuri...Jose Mourinho aliwahi kufanya kazi na van Gaal wakiwa Barcelona miaka ya nyuma akiwa kama msaidizi wa van Gaal...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment