Wednesday 4 May 2016

BOXING: AMIR KHAN ASEMA ANAUHAKIKA WA KUMCHAPA CARNELO


Amir Khan yuko tayari kumkabili Carlnelo Alvarez katika pambano ambalo kwa ukweli kabisa ni gumu kwa Khan...Tayari Khan yuko Las Vegas kwenye Penthouse yake ambayo akuchungulia nje anaona bango lake kubwa na kwa mbali kidodo anaona ukumbi mpya wa T-Mobile Arena ambapo atazichapa na Alvarez Jumamosi ijayo...


Kwa saa za kwetu huku itakuwa mapema alfajiri Jumapili...Khan anataka mkanda kwa hiyo atakutana na Saul 'Canelo' katika mkanda wa uzito wa middleweight...


Alvarez ni maarufu sana huko Mexico na anapendwa kuliko Rais wao na ni boxer makini na hatari sana kwahiyo Khan anamtihani mkubwa....Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment