Tuesday 24 May 2016

ERIC CANTONA: 'NAMPENDA JOSE MOURINHO LAKINI JOSESIO MANCHESTER UNITED'



Eric Cantona anayetokea France ni mchezaji hodari aliyewika miaka ya nyuma ndani ya Old Trafford...Cantona amefikisha miaka 50 amesema kwa mashabiki  wa Manchester United siwezi kurudi hata kama ni baad aya miaka 25 kwani bado Mashabiki wanamfikiria Sir. Alex Ferguson na si rahisi kufuta hiyo...Cantona alisema anampenda Jose kama mtu kwani Jose anapenda kufanya kazi kwa bidii na anashinda mechi lakini Jose hafai kwa Mashabiki wa Manchester United kutokana na aina ya mpira Jose anachezesha...


Cantona amesema kocha mmoja tu anafaa Manchester United na huyo ni Pep Guardiola tu...Cantona amesema akiombwa kufundisha Man U hatokataa kutokana na Pep kwenda Manchester City lakini Pep ndiye mtu ambaye anaweza aina ya mpira Manchester United wanacheza...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment