Max Sports brings you the latest sports news, reviews, statistics, videos, documentaries and more from across the globe 🌎!
Friday, 20 May 2016
F1: PIRELLI KUPIMA PRESHA YA MATAIRI WAKATI WA MASHINDANO
Kumetokea ujanja kwenye mashindano kutokana na matairi ya Pirelli kuwa na kiwango cha presha cha chini...Chuma kinachishikilia tairi au Rim kwa jina maarufu hutengenezwa ili iweze kupunguza presha zaidi na kutokana na ujanja huu Pirelli na Chama kinachisimamia Formula One FIA wataanza kupima presha za matairi wakati wa mashindano...Bofya hapa upate habari zaidi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment