Monday 2 May 2016

ZIMBABWE: DOMINIC CHUNGWA WA CAPS UNITED AKATA KIU YA MIAKA 7 NDANI YA HARARE DERBY


Dominic Chungwa amekata kiu iliyo kaa miaka 7 kw ni Caps United walikuwa hawajawafunga Dynamos toka mwaka 2009...Mbele ya mashabiki waliofurika kuja kuangalia mechi ya Harare derby wakiwa na Waziri wa Mambo ya Ndani, Ignatious Chombo, Caps United waleweza kutoa uteja wa miaka 7...Mwaka 2009 mshambuliaji harati Nyasha Mushekwi aliwachapa 2 Dynamos katika mechi muhimu...Baada ya hapo walikuwa mateja wa Dynamos mpaka jana...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment