Friday 20 May 2016

FRENCH OPEN: ROGER FEDDERER AJITOA KUTOKANA NA MAUMIVU YA MGONGO


Bingwa wa dunia wa zamani kidogo Roger Federer amejitoa French Open...Federer ambae ameshinda singles Grand Slam 16 amejitoa kutokana na maumivu ya mgongo...French Open ni michuano mikubwa sana kwenye calendar ya Pro Tennis na michuano hiyo inaanza mwezi ujao...Federer ameomba radhi mashabiki wake nakusema hapa badae ataendelea kucheza...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment