Friday 6 May 2016

LEICESTER CITY: LEICESTER YAONYESHA NYUZI ZAO MPYA KABISA ZA MSIMU UJAO


Leicester City mabingwa wa ligi ya Uingereza wameonyesha ulimwengu wa jezi zao mpya kabisa zitazotumika msimu ujao 2016/17...


Baada ya kushangaza dunia kutokana na ushindi ambao haukutegemewa kabisa sasa wameamua kuonyesha jezi zai ambazo zimetengenezwa na kampuni kubwa sana na vifaa vya micheza ya Puma...


Kampuni ya King Power ambayo inamilikiwa na Mwenyekiti wa club Vichai Srivaddahanaprabha ndio waliodhamini hizo jezi...Bofya hapa upate bahari zaidi.

No comments:

Post a Comment