Tuesday 3 May 2016

OLYMPICS 2016: MOTO WA KUWASHIA MWENGE WA OLYMPICS WAWASILI RASMI BRAZIL


Moto wa kuwashia Mwenge wa Olympics umewasili rasmi Brazil tayari kwa kuzungushwa kabla ya Olympics za Rio kuanza mwezi wa 8...



Rais wa Brazil Dilma Rousseff amewasha Mwengeambao utakimbizwa na watu watatakriban 12,000...



Rais Rousseff kwa sasa inawezekana ikawa shughuli yake ya mwisho kutokana na tuhuma za rushwa na kura ya kutaka kumtoa madarakani inakaribia...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment