Max Sports brings you the latest sports news, reviews, statistics, videos, documentaries and more from across the 🌎
Showing posts with label Rio Olympics. Show all posts
Showing posts with label Rio Olympics. Show all posts
Wednesday, 17 August 2016
RIO 2016: KIPYEGON AMPITA DIBABA NA KUSHINDA MBIO ZA WANAWAKE ZA 1,500M
Faith Kipyegon kutoka Kenya amefanikiwa kumpita bingwa wa zamani wa mita 1,500 Genzebe Dibaba kutoka Ethiopia na kushinda medani ya dhahabu ya Rio Olympics...Kipyegon alikuwa nyuma lakini ilipifika nusu alichomoza na kumwacha bingwa Dibaba nyuma mpaka mwisho...Muda ya Kipyegon ni wa kasi kuliko wote duniani mwaka huu...Dibaba alishinda medani ya Silver na bingwa mwingine wa zamani Jenny Simpson amechukua Bronze...Bofya hapa upate habari zaidi.
Monday, 8 August 2016
RIO 2016: DEL PORTO BEATS DJOKOVIC IN THE FIRST ROUND
Juan Martin del Potro au Delpo has beaten world number 1 Novak Djokovic in the first round of the Rio Olympics.
RIO 2016: KATIE LEDECKY AVUNJA REKODI YAKE YA DUNIA
Katie Ledecky amevunja rekodi yake ya dunia ya mita 400 freestyle kwa sekunde 2...
Mmarekani huyu akukwa mbio sana katika kuogelea na alimaliza kwa muda ya 3:56:49...Bofya hapa upate habari zaidi.
Thursday, 28 July 2016
RIO OLYMPICS 2016: USAIN BOLT NDANI YA BRAZIL
Usain Bolt kaingia Brazil kwa pipa tayati kuweka historia katika Olympics za mwaka huu...Bolt anafukuzia 'triple-triple' medani 3 katika mashindano matatu tofauti...100m, 200m na sprint relay...
Olympics imekumbwa na mizengwe mingi na Bolt atasaidia kuichangamsha Olympics za Rio de Janeiro...Bofya hapa upate habari zaidi
Friday, 1 July 2016
SWIMMING: MICHAEL PHELPS AVUNJA REKODI KABLA YA KWENDA RIO 2019
Michael Phelps ameweka rekodi ya kuwa swimmer wa kwanza Marekani kufuzu kwenda Olympics mara 5...Phelps mwenye umri wa miaka 31 aliweza kumaliza trials za Olympics kwa muda wa 1:54:84 katika 200 meter Butterfly...Phelphs alisema siku hii ni muhimu sana katika maisha yake ukizingatia yaliotekea katika maisha na kuweza kurudi na kushinda...Bofya hapa upate habari zaidi.
Friday, 17 June 2016
RIO 2016: MAPACHA WATATU WAWEKA HISTORIA
Mapacha watatu kutoka Estonia wameweka rekodi katika historia ya Olympics kwa kuwa mapacha watatu wa kwanza kushiriki mchezo mmoja...Madada hao Leila, Liina na Lilly Liuk waategemewa kukimbia kwenye marathon...Bofya hapa upate habari zaidi.
Tuesday, 3 May 2016
OLYMPICS 2016: MOTO WA KUWASHIA MWENGE WA OLYMPICS WAWASILI RASMI BRAZIL
Moto wa kuwashia Mwenge wa Olympics umewasili rasmi Brazil tayari kwa kuzungushwa kabla ya Olympics za Rio kuanza mwezi wa 8...
Rais wa Brazil Dilma Rousseff amewasha Mwengeambao utakimbizwa na watu watatakriban 12,000...
Rais Rousseff kwa sasa inawezekana ikawa shughuli yake ya mwisho kutokana na tuhuma za rushwa na kura ya kutaka kumtoa madarakani inakaribia...Bofya hapa upate habari zaidi.
Subscribe to:
Posts (Atom)









