Max Sports brings you the latest sports news, reviews, statistics, videos, documentaries and more from across the 🌎
Showing posts with label Rio Olympics 2016. Show all posts
Showing posts with label Rio Olympics 2016. Show all posts
Tuesday, 20 December 2016
Monday, 22 August 2016
Wednesday, 17 August 2016
RIO 2016: KIPYEGON AMPITA DIBABA NA KUSHINDA MBIO ZA WANAWAKE ZA 1,500M
Faith Kipyegon kutoka Kenya amefanikiwa kumpita bingwa wa zamani wa mita 1,500 Genzebe Dibaba kutoka Ethiopia na kushinda medani ya dhahabu ya Rio Olympics...Kipyegon alikuwa nyuma lakini ilipifika nusu alichomoza na kumwacha bingwa Dibaba nyuma mpaka mwisho...Muda ya Kipyegon ni wa kasi kuliko wote duniani mwaka huu...Dibaba alishinda medani ya Silver na bingwa mwingine wa zamani Jenny Simpson amechukua Bronze...Bofya hapa upate habari zaidi.
Friday, 12 August 2016
RIO 2016: KOCHA WA KENYA ATILULIWA KWA KUTUMIA VITAMBULISHO VYA FERGUSON ROTICH
RIO 2016: MTANZANIA HILAL HEMED HILAL AMEJITAHIDI SANA KWENYE SHINDANO LA SWIMMING
Hilal Hemed Hilal ametuwakilisha vyema kwenye mashindano ya swimming huko Rio de Jenairo kwa kushinda heat ya 4 na kuweka rekodi yake binafsi na ya nchi ya muda wa 23:70...Walikuwa washindani 8 katika heat ya 4 na Hilal akaibuka wa kwanza kabisa...Bado tuna matumaini ya kupata medani lakini kwa sasa tusubiri kidogo...Pongezi sana Hilal Hemed Hilal...Bofya haha upate kuangalia jinsi Hilal alivyoshinda heat ya 4.
Wednesday, 10 August 2016
Monday, 8 August 2016
RIO 2016: MICHAEL PHELPS ASHINDA DHAHABU YA 19
Michael Phelps ameshinda medani yake ya 19 wakati timu US ilivoshinda mita 400 relay ya freestyle...Phelps amekuwa mwakilishi mzuri wa swiiming wa US na sasa ameweza kuongeza medani ya dhahabu kwenye collection yake...Toka Olympics za London 2012 Phepls alikutwa na mikasa kibao hapo kati na sasa amejipanga na kurusia hali yake ya ushindi...Bofya hapa upate habari zaidi.
Subscribe to:
Posts (Atom)


































