Max Sports brings you the latest sports news, reviews, statistics, videos, documentaries and more from across the 🌎
Showing posts with label Genzebe Dibaba. Show all posts
Showing posts with label Genzebe Dibaba. Show all posts
Thursday, 4 November 2021
Wednesday, 17 August 2016
RIO 2016: GENZEBE DIBABA ASEMA YEYE NI MSAFI SANA MITHILI YA GLASS ZA MVINYO
Genzebe Dibaba mshindi wa 2 katika mbio za mita 1,500 akihojiwa na waandishi wa habari kuhusu kukamatea wa kocha wake huko Spain na kuwekwa ndani siku taku kwasababu ya kusambaza madawa ya kuongeza nguvu amesema yeye ni msafi sana mithili ya glass ya mvinyo...Kocha huyo, Jama Aden, ameachiwa huru lakini bado uchunguzi unaendelea na haruhusiwi kutoka Spain...Dibaba amesema uvumi kuwa anatumia madawa unamsumbia sana kisaikolojia na kuwa aliwasiliana na kocha huyo kupata ushauri wa kitaalam tu...Bofya hapa upate bahari zaidi.
RIO 2016: KIPYEGON AMPITA DIBABA NA KUSHINDA MBIO ZA WANAWAKE ZA 1,500M
Faith Kipyegon kutoka Kenya amefanikiwa kumpita bingwa wa zamani wa mita 1,500 Genzebe Dibaba kutoka Ethiopia na kushinda medani ya dhahabu ya Rio Olympics...Kipyegon alikuwa nyuma lakini ilipifika nusu alichomoza na kumwacha bingwa Dibaba nyuma mpaka mwisho...Muda ya Kipyegon ni wa kasi kuliko wote duniani mwaka huu...Dibaba alishinda medani ya Silver na bingwa mwingine wa zamani Jenny Simpson amechukua Bronze...Bofya hapa upate habari zaidi.
Thursday, 18 February 2016
ATHLETICS: GENZEBE DIBABA NA AYANLEY SOULEIMAN WAVUNJA REKODI
Genzebe Dibaba anayetokea Ethiopia amevunja rekodi ya dunia ya riadha za ndani iliyokaa miaka 26 bila kuvunjwa huko Sweden...Dibaba ni bingwa wa dunia wa riadha kwa mbio za mita 1,500 na pia ameshikilia rekodi ya mita 1,500...Dibaba amevunja rekodi hiyo alivyokimbia maili 1 na alitumia dakika 4 na sekunde 13.31...Rekodi ya zamani iliwekwa na Doina Melinte mwaka 1990 (dakika 4 na sekunde 17.14)...
Ayanley Souleiman nae aliweka rekodi ya mita 1,000 kwa muda wa dakika 2 na sekunde 14.20...Souleiman anayetokea Djibouti alivunja rekodi ya Mkenya mwenye uraia wa Denmark Wilson Kipketer kwa sekunde 0.7...Bofya hapa upate habari zaidi.
Subscribe to:
Posts (Atom)



