Thursday 18 February 2016

ATHLETICS: GENZEBE DIBABA NA AYANLEY SOULEIMAN WAVUNJA REKODI


Genzebe Dibaba anayetokea Ethiopia amevunja rekodi ya dunia ya riadha za ndani iliyokaa miaka 26 bila kuvunjwa huko Sweden...Dibaba ni bingwa wa dunia wa riadha kwa mbio za mita 1,500 na pia ameshikilia rekodi ya mita 1,500...Dibaba amevunja rekodi hiyo alivyokimbia maili 1 na alitumia dakika 4 na sekunde 13.31...Rekodi ya zamani iliwekwa na Doina Melinte mwaka 1990 (dakika 4 na sekunde 17.14)...



Ayanley Souleiman nae aliweka rekodi ya mita 1,000 kwa muda wa dakika 2 na sekunde 14.20...Souleiman anayetokea Djibouti alivunja rekodi ya Mkenya mwenye uraia wa Denmark Wilson Kipketer kwa sekunde 0.7...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment