Friday 5 February 2016

CHINESE SUPER LEAGUE: TIMU ZA UCHINA ZA VUNJA REKODI YA USAJILI MARA 3 NDANI YA SIKU 10



Jiangsu Suning F.C. wamemnyakua midfielder kutoka Brazil na pia wa timu ya Shakhtar, Alex Teixeira, kwa kitita cha £38.4 milioni...Hii ni mara ya 3 sasa ndani ya siku 10 rekodi za transfer kuvunjwa...Wa kwanza alikuwa Ramirez kutoka Chelsea kwenda Jiangsu Suning kwa £25 milioni  akafuatiwa na Jackson Martinez kutoka Atletico Madrid kwenda Guangzhou Evergrande kwa £31.5 milioni na sasa Alex Teixeira...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment