Wednesday 3 February 2016

GUANGZHOU EVERGRANDE: JACKSON MARTINEZ WA ATLETICO AWEKA REKODI YA TRANSFER KWENDA GUANGZHOU



Timu inayocheza kwenye Chinese Super League, Guangzhou Evergrande, imemnyakua Jackson Martinez kifaa cha Colombia kwa pounds za Uingereza milioni 31...


Bei hiyo ya transfer imezidi ya Ramirez ya hivi majuzi tu ya kwenda Jiangsu Suning ya pounds milioni 25.

Martinez amewafungia Atletico mabao 3 tu katika mechi 22 baada ya kutoka Porto mwaka jana...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment