Friday 12 February 2016

ATHLETICS: KENYA BADO KUPELEKA UTHIBITISHO MAMLAKA YA KUZUIA MADAWA YA KUONGEZA NGUVU


Kenya walitakiwa kukamilisha na kupeleka utetezi wa kuhusishwa na madawa ya kuongeza nguvu kwa Mamlaka ya Kuzuia Madawa ya Kuingeza Nguvu (World Anti-Doping Agency-WADA) lakini wamepitiliza muda waliopewa...Haya yote yamejitokeza baada ya kugundulika kuwa wanariadha wengi wanatumia haya madawa na pia kuna rushwa inahusika...WADA wamewapa Kenya miezi 2 kupeleka mwongozo wa sheria kuhusu kupambana na hili tatizo na wasipofanya hivyo watafungiwa...


Kuanzia mwaka huu wanariadha 18 wamefungiwa kutokana na kugundulika kutumia madawa ya kuongeza nguvu na mmoja kati ya hao ni maarufu sana anaitwa Rita Jeptoo ambae alishinda marathon ya Boston na Chicago...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment