Wednesday 17 February 2016

ATHLETICS DOPING: BOSS WA RIADHA KENYA AACHIA NGAZI KUPISHA UCHUNGUZI


Isaac Mwangi, Mkurugenzi Mkuu Mtendaji wa Riadha nchini Kenya, ameamua kuachia ngazi na kupisha uchunguzi unaoikabili ofisi yake kwa ujumla...Tuhuma zinazomabili ni kwamba aliomba rushwa kutoka kwa wanariadha iliasiwalipue kutokana na kutumia madawa ya kuongeza nguvu...Mwangi amesema yeye hana hatia na ameamua kukaa nje ya ofisi kwa muda wa siku 21 ili kupisha uchunguzi unafanywa na chama cha riadha duniani IAAF...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment