Saturday 13 February 2016

ALL-STAR WEEKEND: ZACH LAVINE ASHINDA BBVA COMPASS RISING STARS CHALLENGE


Zach LaVine amefungulia vizuri michuano mbali mbali mikubwa sana ya basketball ambayo inahusisha wakali wote wa mchezo huo kwa kuwa MVP...NBA All-Star weekend inafanyika jijini Toronto huko Canada...Lavine alipata points 30 wakati timu yake ya United States walipowafunga World team 157-154...Rising Stars Challenge inahusisha wachezaji walioingia wapya NBA na wachezaji wa mwaka wa 2 NBA...


LaVine amesema pia anataka kuingia kwenye mashindano ya kudunk...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment