Friday 12 February 2016

ATLETICO MINEIRO: ROBINHO ASAINI MKATABA WA MIAKA 2


Robinho mchezaji wa zamani wa AC Milan na timu ya kichina ya Evergrande amesaini mkataba wa miaka 2 na Atletico Mineiro ya Brazil...Satos walikuwa wanamtaka tena lakini Mineiro wamemdaka...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment