Saturday 13 February 2016

CAF CHAMPIONS LEAGUE 2016: YANGA NA CHICKENS INN ZASHINDA


Dar es Salaam Young Africans, Yanga, wazee wa Jangwani walikuwa timu ya kwanza kupata ushindi leo walivyo wachapa Cercle de Joachim 1-0 huko Mauritius...Donald Ngoma ndie aliyepachika bao la Yanga dakika ya 16...Mamelodi Sundown ya Afrika ya Kusini ilichapwa 1-0 na Chicken Inn ya Zimbabwe katika round ya kwanza ya mguu wa kwanza jijini Bulawayo...Mechi nyingine Vipers ya uganda uliwaacha hoi Enyimba ya Nigeria kwa bao 1-0...Bofya hapa upate habari zaidi. 

No comments:

Post a Comment