Friday 19 February 2016

EUROPA LEAGUE: MANCHESTER YACHEMSHA DHIDI YA FC MIDTJYLLAND


Manchester United wamechapwa 2-1 katika mechi yao ya "Uefa ndogo" dhidi ya FC Midtjylland...Manchester kwa ujumla hawakucheza vizuri na hiyo ni kutokana na kumpoteza Rooney na de Gea lakini bado wana matumaini katika Premiership wakijipanga vizuri...Kibarua cha van Gaal sasa kiko hatiani maana kutokana na hali hii ya majeruhi ni ngumu kufanya maajabu...Depay ndio aliyeanza kufunga bao kwenye dakika ya 37 lakini kipa aliyechukua nafasi ya de Gea alishindwa kuzuia bao la Pione Sisto dakika ya 44...Bao la ushindi lilitoka kwa Ebere Paul Onuachu kwenye dakika ya 77...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment