Friday 5 February 2016

MANCHESTER UNITED: MAN U WALIMTENGEA NEYMAR POUNDS MILIONI 145



Manchester United walitoa offer ya pounds milioni 145 kumyakua forward wa Brazil Neymar mwaka jana...Habari za kuaminika ambazo ndio zinaibuka zilitoka kwa baba yake Neymar...Neymar ambae alikuwa waa 3 kwenye kura za Ballon d'Or kwa sasa ana kesi ambayo inamkabili yeyey na mzee wake...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment